Mafuta bora yaliyojaa Vitamini B3 na Multi Vitamin. Huupa mwili unyevu wa kina unaodumu na kuacha mng'ao wa asili.
Faida: Husaidia kutoa rangi moja (even tone) na kurejesha afya ya ngozi.
Matumizi: Hufyonzwa haraka, hayana mafuta mengi (non-greasy), yanafaa kwa ngozi kavu na kuchoka.
Muhimu: Huupa mwili mng'ao na unyevu wa saa 48.