Your cart is empty, and it looks like you haven’t added anything yet.
Hii Samsung 25W Type-C Adapter yenye teknolojia ya Power Delivery 3.0 (PD 3.0) hukuwezesha kuchaji simu yako kwa kasi ya hali ya juu – bila joto, bila kusubiri.
Fast Charging – 25W ya nguvu ya kweli kwa kuchaji haraka
PD 3.0 Technology – smart charging, inalinda battery yako
Inafaa kwa simu zenye Type-C kama Samsung, Pixel, na zingine
Compact na nyepesi – rahisi kubeba na kutumia kila mahali
Original quality – salama kwa simu yako
Iwe ni kazini, nyumbani, au safarini – charger hii ya Samsung inakupa nguvu ya kuendelea bila kukatwa!
Charger ya uhakika. Kasi bila kuchoma.
Warranty 1 Year
Color Black
No review given yet!
You need to Sign in to view this feature
This address will be removed from this list