Detail Description
Zazg Style Unisex Sandals ni viatu vya wazi vilivyotengenezwa kwa ubora wa juu na muundo unaofaa jinsia zote. Ni vyepesi, vya kustarehesha na vinavaliwa kwa matumizi ya kila siku ndani au nje. Sandals hizi zina outsole imara na soft footbed inayosaidia kupunguza uchovu wa miguu wakati wa kutembea.
Faida za Bidhaa:
• Zinavaliwa na wanaume na wanawake (unisex)
• Nyepesi na starehe kwa matumizi ya muda mrefu
• Ubora mzuri na material yanayodumu
• Inafaa kwa matumizi ya kila siku, kazini, nyumbani au matembezi
• Muundo wa kisasa unaoendana na mavazi mbalimbali