Your cart is empty, and it looks like you haven’t added anything yet.
K9 Wireless Lavalier Microphone ni mic ya kisasa yenye noise cancellation, auto-sync na plug & play compatibility. Inafaa kwa content creators, interviews, YouTube, TikTok na livestreaming. Inakuja na boom mic mbili, receiver na charging case.
• Plug & Play – Hakuna app inahitajika
Inafungiwa tu kwenye simu au kifaa chako, inafanya kazi papo hapo bila setup ngumu.
• Dual Microphones (2 TX + 1 RX)
Inakuja na vipaza sauti viwili (mic) kwa interviews, TikTok, YouTube, podcast, na content ya wawili.
• Universal Compatibility
Inafanya kazi na:
– Android (Type-C)
– iPhone (Lightning – kama unayo version hiyo)
– Camera & Laptop (kwa baadhi ya models)
• Intelligent Noise Reduction
Ina AI noise cancellation ambayo inaondoa kelele za mazingira kwa sauti safi.
• Long Distance Transmission – hadi 20m
Inaweza kurekodi umbali mrefu bila kukatika.
• Long Battery Life – 4–6 hours
Betri inadumu muda mrefu kwa kurekodi au livestream.
• Real-time Auto Sync
Sauti na video vinajisync bila kuchelewa.
• 360° Omnidirectional Sound Pickup
Inakamata sauti kutoka pande zote kwa clarity.
• Lightweight & Portable
Ndogo, nyepesi na rahisi kubeba.
• Charging Case Included
Inakuja na case ya kucharge maboom mic yote mawili.
No review given yet!
You need to Sign in to view this feature
This address will be removed from this list