Your cart is empty, and it looks like you haven’t added anything yet.
Chupa ya Chai ya Nice One yenye ujazo wa lita 3 ni chaguo sahihi kwa familia, ofisini, au hata kwenye mishemishe za safari. Imetengenezwa kwa plastic na ina uwezo wa kuhifadhi joto hadi masaa 12 – chai yako inabaki moto muda mrefu bila stress.
Inahifadhi joto hadi masaa 12
Ujazo mkubwa wa 3 lita – inatosha familia nzima
Imetengenezwa kwa nyenzo imara na ya kudumu
Ina mfuniko unaofunga vizuri – haina kuvuja
Muundo maridadi na kishikio imara – rahisi kubeba na kutumia
Perfect kwa chai ya asubuhi, mchana au hata maaji moto – Nice One Chupa ya Chai ni lazima uwe nayo nyumbani au kazini.
No review given yet!
You need to Sign in to view this feature
This address will be removed from this list