Your cart is empty, and it looks like you haven’t added anything yet.
Blender hii ya Silvercrest yenye ujazo wa lita 2 na motor ya 4500W ni mkombozi wa jikoni kwa shughuli zote za blending na kusaga. Ikiwa na jug mbili, hii mashine inakupa nafasi ya kupika kwa haraka, kwa wingi, na kwa ufanisi.
Ujazo: Lita 2 – inatosha kutengeneza vinywaji vya familia nzima
Motor yenye nguvu – 4500W
Jug mbili – kwa blending na kusaga matumizi tofauti
Inafaa kwa juice, smoothies, supu, unga wa viungo, maziwa ya soya n.k
Blade kali za chuma – hukata kila kitu bila huruma
Speed nyingi + control rahisi kutumia
Imetengenezwa kwa vifaa vya kudumu, rahisi kusafisha
Iwe unafanya biashara ya vinywaji au unapenda huduma ya haraka nyumbani, Silvercrest Blender ya lita 2 ni chaguo la uhakika.
Blenda ya nguvu, ujazo mkubwa, kazi bila tabu!
Warranty 1 YEAR
Ndani ya BOX Unapata
Blender 1
Jugs 2
No review given yet!
You need to Sign in to view this feature
This address will be removed from this list