Your cart is empty, and it looks like you haven’t added anything yet.
Toshiba External Hard Disk 1TB ni kifaa cha uhifadhi chenye kasi ya juu na urahisi wa matumizi. Imeundwa kwa ajili ya kuhifadhi mafaili yako salama na kwa haraka, ikifanya kazi na vifaa mbalimbali kama TV, Mac OS na Windows.
Features:
USB 3.0 lightning speed kwa kasi ya juu ya kuhamisha data
1TB storage kwa nafasi kubwa ya kuhifadhi mafaili
Inafanya kazi na TV, Mac OS na Windows
Plug n Play operation – rahisi kutumia bila kufunga programu
Drag n Drop use – rahisi kuhamisha mafaili
In the box:
External HDD 1TB
USB 3.2 Gen cable included
Operation manual
Faida kuu:
Kasi ya juu ya kuhamisha data
Uhifadhi mkubwa na salama
Urahisi wa kutumia bila usumbufu
No review given yet!
You need to Sign in to view this feature
This address will be removed from this list