Detail Description
ClassyCotton Bed Sheets ni seti ya shuka zenye quality ya juu zilizotengenezwa kwa 100% cotton, laini na zinazodumu kwa muda mrefu. Zimeundwa kutoa usingizi wa amani, comfort na mwonekano mzuri kwenye kitanda chako.
Seti hii inakuja na shuka 2 na foronya 4, zinazotoshea kitanda cha size 7/8, perfect kwa matumizi ya nyumbani au hoteli.
Faida za Bidhaa:
• Seti ina shuka 2 na foronya 4
• 100% cotton — laini, breathable na comfortable
• Size 7/8, inatoshea kitanda kikubwa
• Rahisi kufua na hazipotezi rangi
• Durable na zinadumu kwa muda mrefu
• Huongeza mwonekano mzuri wa bedroom
• Inafaa kwa nyumbani au matumizi ya hoteli