Detail Description
DecoWeave Table Mat Set (4pcs) ni seti ya placemats zenye muundo mzuri na ubora wa juu, zinazolinda meza na kuongeza mwonekano wa kifahari kwenye chakula chako cha kila siku. Zimetengenezwa kwa material imara lisilopitisha joto na rahisi kusafisha, hivyo zinafaa kwa dining table, kitchen, restaurants au matumizi ya nyumbani.
Faida za Bidhaa:
• Seti ya placemats 4pcs imara na za kudumu
• Zinalinda meza dhidi ya joto, maji na uchafu
• Rahisi kusafisha — wipe & dry
• Muundo wa kifahari unaopamba meza
• Zinatoshea meza nyingi (dining, kitchen, coffee table)
• Lightweight na hazitelezi kirahisi