Detail Description
DoorMat Pro ni zulia la mlangoni lililotengenezwa kwa material imara linalosaidia kuzuia uchafu, vumbi na maji kuingia ndani ya nyumba. Lina anti-slip bottom ambayo huzuia kuteleza, hivyo ni salama kwa watoto na watu wazima. Linafaa kwa milango ya nyumba, ofisi, balcony au corridor, na ni rahisi kusafisha kwa kupiga teke, kupangusa au kuosha.
Faida za Bidhaa:
• Anti-slip — halitelezi kwenye sakafu
• Huzuia vumbi, uchafu na maji kuingia ndani
• Material imara na durable
• Rahisi kusafisha na hukauka haraka
• Inafaa kwa indoor & outdoor use
• Inaongeza mwonekano safi wa kuingilia nyumbani