Detail Description
NeatFold Clothes Organizer Box ni kisanduku cha kupanga nguo kinachosaidia kuweka kabati au chumba kikiwa safi na terti. Kimeundwa kwa material imara na breathable, chenye nafasi ya kutosha kuhifadhi nguo kama t-shirts, trousers, panties, socks, baby clothes au nguo za msimu.
Kinaweza kukunjwa kirahisi, ni nyepesi na rahisi kubeba au kuhifadhi. Kinafanya mpangilio wa nguo kuwa rahisi na unaoonekana vizuri.
Faida za Bidhaa:
• Hupanga nguo vizuri bila kuchanganya
• Foldable, nyepesi na rahisi kubeba
• Material imara na breathable
• Inafaa kwa t-shirts, socks, panties, trousers, baby clothes n.k.
• Inaweka kabati au sanduku la nguo likiwa safi na terti
• Inaokoa nafasi kwenye wardrobe au drawers
• Rahisi kusafisha na kutumia kila siku