Detail Description
Pazia za velvet zenye muonekano wa kifahari, laini na zinazoongeza mvuto kwenye sebule au chumba cha kulala.
Vipengele (Features)
• Material: Velvet laini na nene
• Upana: 1.5m
• Urefu: 2.7m
• Seti ya vipande 2 (2Pc)
• Huzuia mwanga kwa kiwango cha kati
• Rahisi kufua na hudumu kwa muda mrefu
Kile Kilichopo Kwenye Boksi / Package
• Pazia 2 za Velvet (2Pc)
• Tiebacks 2