Detail Description
RoundNet ni neti ya duara iliyoundwa kukupa usingizi bora bila usumbufu wa mbu. Imetengenezwa kwa material imara, yenye mashimo madogo yanayozuia mbu na vipepeo kuingia ndani. Inaonekana maridadi kwenye chumba, rahisi kufunga, na inaenea vizuri juu ya kitanda cha size 6/6.
Perfect kwa nyumba, hosteli, au safari.
Faida za Bidhaa:
• Size 6/6 — inafaa kitanda kikubwa
• Husaidia kupata usingizi bora
• Anti-mosquito, inalinda dhidi ya mbu
• Material imara na inayodumu
• Muundo wa round unaopamba chumba
• Rahisi kufunga na kuondoa