Detail Description
SmartTemp Vacuum Flask ni chupa ya kisasa yenye uwezo wa kuhifadhi joto la kinywaji kwa muda mrefu. Inakuja na digital temperature display juu ya kifuniko, inayokuonyesha joto halisi la kinywaji bila kufungua. Imetengenezwa kwa stainless steel double-wall insulation, hivyo ni imara, haituamani na inafaa kwa matumizi ya kila siku—kazini, shuleni, safari, mazoezini na nyumbani.
Faida za Bidhaa:
• Inaonyesha joto la kinywaji kupitia digital display
• Double-wall insulation huhifadhi joto au baridi muda mrefu
• Imetengenezwa kwa stainless steel, imara na salama kwa afya
• Haivuji, rahisi kubeba na lightweight
• Inafaa kwa maji moto, chai, kahawa, juice au maji baridi
• Perfect kwa office, safari, gym na matumizi ya kila siku