Detail Description
StickMount Bathroom Wall Rack ni rafu ya bafuni inayobandikwa ukutani kupitia strong adhesive bila kuchimba wala kutumia screw. Inaweza kubeba sabuni, shampoo, body wash, sponge, mafuta na bidhaa nyingine za bafuni kwa mpangilio safi na salama.
Imetengenezwa kwa material imara, isiyoathiriwa na maji na yenye uwezo wa kubeba uzito vizuri bila kuanguka. Inafaa kwa tiles, glass, marble, metal na kuta nyingine laini. Rahisi kupachika na kuondoa bila kuacha alama.
Faida za Bidhaa:
• Inabandikwa ukutani bila kuchimba
• Strong adhesive – haitelezi wala kuanguka
• Waterproof na rust-free
• Inadumu muda mrefu
• Inapanga sabuni, shampoo na bidhaa za bafuni vizuri
• Rahisi kufunga na kuondoa bila uharibifu wa ukuta
• Inafaa kwa tiles, glass, marble, wooden & metal surfaces